Pathojeni ni jina kwa bakteria, virusi au fungi zinazoweza kusababisha ugonjwa. Si kila bakteria au fungi inasababisha ugonjwa, kinyume chake tunaishi kwa kuwa na mamilioni ya bakteria katika utumbo ambazo ni lazima kuwepo kwa afya yetu. Vidubini hivi vyote ni vidogo mno, havionekani kwa macho.
Je,pathojeni ni nini?
Ground Truth Answers: jina kwa bakteria, virusi au fungi zinazoweza kusababisha ugonjwajina kwa bakteria, virusi au fungi zinazoweza kusababisha ugonjwabakteria, virusi au fungi zinazoweza kusababisha ugonjwa
Prediction: